Je, mwanaume anaweza kupata maumivu ya mwili, hasa meno, wakati mpenzi wake ana mimba?
Katika video hii nitakushirikisha uzoefu wangu wa karibu – wakati mpenzi wangu alikuwa mjamzito, nilianza kupata maumivu ya ajabu ya meno!
Hii ni kweli au ni imani tu? Tazama hadi mwisho!
Usisahau kusubscribe kwa channel ya Stani Tiba kwa maelezo mengine ya afya na tiba asilia.