Mchungaji mmoja mwaka 2014 Afrika kusini aliwalisha waumini wake majani kwa kilie kinachoelezwa kuwa wanakula maisha. Kadiri unavyokula majani ndivyo unavyofanikiwa. Nimekusogea video zima ya tukio hili kutoka kanisani kwake. Usisahau kulike na kusubscribe ili kupata taarifa na habari zaidi zinazojiri ulimwenguni