Mtoto huyu amekuwa gumzo sana haswa ukizingatia umri wake na maamuzi aliyoyafanya pale alipoona Shamba la nyumbani likitaka kuuzwa. Swali lake ni kwamba ikiwa lingeuzwa wao wangeishi wapi. Ndio maana akaamua kumpleka Baba yake Polisi.
Ungana nami katika kisa hiki ila usisahau kusubscribe na kulike Channel yangu kwa matukio mengi na habari zaidi.