Timu ya mpira wa miguu ya watu wafupi yaundwa nchini Kenya
Опубликовано: 26 Сентябрь 2026 на канале: ARYou classic
1,321
7
Nimekusogezea timu ya watu wafupi ya mpira wa miguu iliyoundwa nchini kenya baada ya usajili wa watu wafupi elfu tatu nchini humo.Tazama video ujionee mwenyewe.
Subscribe na Like kama kawa my classic people.