Langa, Gangster Lyrics

Опубликовано: 09 Апрель 2026
на канале: Humphrey Moris
1,106
10

Nimefanya kwa mapenzi ya dhati na huu mziki mzuri wa Langa Kileo .. i do for love... hakuna malipo kabla na baada ya kuupload wimbo huu.


Video halisi ya gangster inapatikana hapa    • Langa-Gangsta  


Pia, napenda mziki wa Langa usikilizwe na kutazamwa, watu watambue mashairi yake Nadhani mpendwa wetu atafurahi huko alipotutangulia.
Pumzika kwa amani LANGA KILEO
#RIPLangaKileo

1985 - 2013