Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini ameshiriki Ibada na Mazishi ya *Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge aliyefariki Oktoba 12, 2024 na kuzikwa leo Oktoba 17, 2024 Kijijini kwao Nyamongo Kata ya Kamugegi, Wilaya ya Butiama mkoani Mara