MBUNGE SAGINI atatua kero ya maji Kitongoji cha Kyamko -Matongo
Опубликовано: 24 Сентябрь 2026 на канале: Daily Talk
245
1
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Jumanne Sagini ameendelea na ziara ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Kyamko, Matongo, Kinyariri na Biatika kwenye Kata ya Buhemba Wilaya ya Butiama, mkoani Mara