Wanafunzi wa Shule ya Sekondari NYAMUNGA wapewa elimu ya mpiga kura

Опубликовано: 11 Сентябрь 2026
на канале: Daily Talk
247
2

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari NYAMUNGA wapewa elimu ya mpiga kura

Mwenyekiti wa Seneti (UVCCM) Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Pwani Mwanaid Ramadhani akiambatana na Katibu wa Seneti Mkoa wa Mara Ayuka Aloyce pamoja na Mjumbe wa Baraza la UVCCM Mkoa wa Mara Shadrack Agenyi amewatembelea na kuwapa elimu ya mpiga kura wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyamunga iliopo Kijiji cha Kibuyi Kata ya Nyamunga Wilaya ya Rorya. Agosti 30, 2024