Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Jumanne Sagini akiwa kwenye Ziara ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Kijiji cha Rwamkoma Kata ya Butiama ameelezea baadhi ya miradi
iliyotekelezwa tangu apewe nafasi ya uwakilishi