REMEMBER ME - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release

Опубликовано: 14 Июль 2026
на канале: BEN CARSON PRE AND PRIMARY SCHOOL
845
10

Kuna nyakati unapitia katika maisha kiasi kwamba unahisi kukata tamaa. Unamheshimu Mungu, ndio; unamwamini Mungu, ndio; unatenda wema, ndio. Lakini taabu zinakuandama, majaribu kila kona kiasi kwamba Mungu asipoingilia kati, waweza kupoteza imani. HUU WIMBO UNATUPATIA TUMAINI KWA, TUINUE MACHO JUU, LIPO TUMAINI.

#godcreatorofallthatexits #elimu #getinvolved #rememberme #trustingod #godfirst #icandoallthingsthroughchristwhostengthensme