HESABU - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release

Опубликовано: 13 Июль 2026
на канале: BEN CARSON PRE AND PRIMARY SCHOOL
1,280
18

Kuna Mungu mmoja: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, umoja
wa Nafsi Tatu za milele. Mungu hapatikani na mauti, ni mwenye
uwezo wote, anajua yote, yuko juu ya yote na yupo wakati wote.
Yeye hana ukomo na yuko nje ya uwezo wa mwanadamu kuelewa,
lakini anajulikana kwa kujifunua yeye mwenyewe. Wakati wote
anastahili kuabudiwa, kupendwa sana na kutumikiwa na viumbe
wote. (Kum. 6:4; Mt. 28:19; 2 Kor. 13:14; Efe. 4:4-6; 1 Pet 1:2; 1
Tim. 1:17; Ufu. 14:7.)

There is one God: Father, Son, and Holy Spirit, a unity of three coeternal Persons. God is immortal, all-powerful, all-knowing, above all, and ever present. He is infinite and beyond human comprehension, yet known through His self-revelation. God, who is love, is forever worthy of worship, adoration, and service by the whole creation. (Genesis 1:26; Deuteronomy 6:4; Isaiah 6:8; Matthew 28:19; John 3:16, 2 Corinthians 1:21, 22; 13:14; Ephesians 4:4-6; 1 Peter 1:2.)

Instrumental: @mjmusicclassics
Audio: Max Studios

#godcreatorofallthatexits #godfirst #godisgood #biblia #bibletruth #bencarson #watoto #children