"I am A Girl Child" || Standard VI Program 2024

Опубликовано: 13 Июль 2026
на канале: BEN CARSON PRE AND PRIMARY SCHOOL
321
1

Amazing program performed during the 2nd STD VII Graduation Ceremony 2024.
Programu hii imeonyesha nafasi ya msichana katika jamii, kwamba ana haki ya kupata elimu na kutimiza malengo yake. Mila potofu kama vile, ndoa za utotoni, msichana kuaminika kuwa dhaifu tofauti na mvulana, na nyingine nyingi, elimu hii ndiyo iliyotolewa katika shairi hili.

#bencarson #elimu #africa #school #girlchild #girlchildeducation #showmetheway #educationmatters #education