SAFARI YA PEKEE || Wahitimu wa Darasa la Saba 2023 || Ben Carson Pre and Primary School

Опубликовано: 13 Июль 2026
на канале: BEN CARSON PRE AND PRIMARY SCHOOL
3,377
28

Wimbo wenye mguso mkubwa na wa kipekee kutoka kwa Wahitimu wa Darasa la Saba, ulioimbwa katika mahafali ya UKG na STANDARD VII. Pia yalikuwa ni mahafali ya Darasa la Saba wa Kwanza tangu kuanzishwa kwa shule hii. Mungu awapiganie kokote waendako. Hakika tutawakumbuka sana!

Instrumental: ‪@mjmusicclassics‬
Audio: Max Studios

#elimu #BenCarson #graduation #icandoallthingsthroughchristwhostengthensme #godcreatorofallthatexits