Wimbo ulioimbwa na Wahitimu wa Darasa la Saba, katika mahafali ya UKG na STANDARD VII. Pia yalikuwa ni mahafali ya PILI ya Darasa la Saba tangu kuanzishwa kwa shule hii. Mungu awapiganie kokote waendako. Hakika tutawakumbuka sana!
Instrumental: @mjmusicclassics
Audio: Max Studios
#elimu #BenCarson #graduation #icandoallthingsthroughchristwhostengthensme #godcreatorofallthatexits